Kwa Msaada Piga:

0760 600 400

Au

0760 600 200

X

BACK

TAFUTA

^

UP

X

  +255 760 600 400   |   +255 760 600 200

 S.L.P 9074 Dsm Tz   |   Muda wa kufungua 2:00Asb-2:00Usk

 Ofisi Zipo: Kkoo Ndanda Dsm Tz (Ofisi Kuu)   |   Mabibo Hostel Dsm Tz (Tawi)

Kurasa ya Bidhaa

Jina: Solarmax Feni Ya Kusimama Size 56

Namba ya Bidhaa: GVL-31012024-114509

<

>

image01 image02 image03
image 01 image 02 image 03

PAKUA PICHA ZA BIDHAA

Shea

Linki

MAELEZO YA BIDHAA

Feni Hii Ya Solarmax Ni Nzuri Sana Na Ina Mwonekano Mzuri Sana, Inafanya Kazi Sana Masaa Ishirini Na Nne Bila Kupumzika Na Haichemki
Nunua Hii Kuepuka Joto Tunakupa Warranty Mwaka Mzima

Jina:   Solarmax Feni Ya Kusimama Size 56

Namba ya Bidhaa:  GVL-31012024-114509

Bei Ilikuwa Tsh

79,000/=

Bei Ya Sasa Tsh

59,000/=

25% Ofa

Una Okoa Tsh 20,000/=

Piga simu namba

+255 760 600 400

Au

+255 760 600 200

NUNUA BIDHAA LIPA KIDOGO KIDOGO LIPIA UKISHAPOKEAOMBA PUNGUZO

Chagua Njia Ya Malipo

tigopesa_logo_jpg mpesa_logo_jpg airtel_money_logo_jpg halopesa_logo_jpg tpesa_logo_jpg ezypesa_logo_jpg

KUMBUKA

Bidhaa hii haina mkopo, lakini unaweza kuulizia utawala,
Kama wanaweza kukuandalia mkopo maalum kwaajili yako.

ULIZIA MKOPO
free_delivery_img

SHERIA ZA MANUNUZI

-> Kuletewa bidhaa kwa wakazi wa Dar es salaam ni bure, na wakazi wa mikoani mtachangia kiasi cha Tsh 20,000/= kama gharama za usafiri

-> Muda wa kuletewa bidhaa ni ndani ya saa 1 hadi masaa 12 kutokea muda ambao ulikamilisha malipo

-> Tunaleta bidhaa bure na kwa haraka zaidi haijawahi kutokea

-> Tunafanya ufungaji wa bure kwa bidhaa za kufunga na kuunganisha. Mfano ukinunua TV tutakufungia ukutani bure

-> Kila bidhaa inahusika na sheria zake za warantii

-> Bidhaa inaweza kurudishwa kama haijakubaliwa na mteja na pesa iliyokwisha lipwa itarudishwa kwenye akaunti yake kwa kuzingatia vigezo na mashart vya mauzo ya bidhaa

Tunapokea Malipo Kupitia

mobile-payments

WASIFU WA BIDHAA

Jina la Bidhaa Solarmax Feni Ya Kusimama Size 56
Namba ya Bidhaa GVL-31012024-114509
Bei Ya Awali Ilikuwa Tsh 79,000/=
Bei Ya Sasa Ni Tsh 59,000/=
Asilimia Ya Punguzo 25%
Kundi
Kundi Jumuishi La Bidhaa Electronics_and_accessories
Kundi Kuu La Bidhaa Other_electronics_products
Kundi Dogo La Bidhaa Free Standing
Ukubwa wa Bidhaa Max
Rangi Kuu Black
Nchi Iliko Tengenezwa China
Mwaka Wa Kutengenezwa 2023
Muda Wa Kutengenezwa
Warantii 1 Mwaka
Vipimo
Urefu 0 Centimetre (Cm)
Upana 0 Centimetre (Cm)
Kimo 1.30 Metres (M)
Uzito 0 Gram (G)
Ujazo Halisi 0 Millilitre (Ml)
Aina Ya Umeme Inayotumia Ac
Volti Za Umeme Inazotumia 110-120
Wati Za Umeme Inazotumia 45
Wasifu Wa Ziada
Wasifu Wa Ziada 1 Inazunguka Pande Zote
Wasifu Wa Ziada 2 Inaongezeka Na Kupungua Urefu Inategemeana Na Unavyotaka Wewe
Wasifu Wa Ziada 3 Haichemki Inafanya Kazi Masaa 24

BIDHAA ZINAZO FANANA  (5)

Tsh  109,000

High Class Orbit Fan With Plastic Blades

Na:  GVL-11022024-005616

Tsh  44,000

Ailyons Feni Ya Kusimama Ndogo Inapuliza Balaa

Na:  GVL-13022024-211054

Tsh  59,000

Zunne Feni Ya Kusimama Saizi 18 Ina Upepo Mkali

Na:  GVL-12022024-170959

Tsh  89,000

Lofida Feni Ya Ukutani

Na:  GVL-06022024-145111

Tsh  59,000

Solarmax Feni Ya Kusimama Size 56

Na:  GVL-31012024-114509