+255 760 600 400 | +255 760 600 200
S.L.P 9074 Dsm Tz | Muda wa kufungua 2:00Asb-2:00Usk
Ofisi Zipo: Kkoo Ndanda Dsm Tz (Ofisi Kuu) | Mabibo Hostel Dsm Tz (Tawi)
What Do They Say
Testimonials
Customers Testimonials
Over 2000 clients trust us and rely on us to get the best furniture at cheapest prices in town every day.
Our sincerely grateful goes to those clients who has been good enough to recomend us to their friends, families and colleagues.
See how some among thousands of our satisfied clients has to say about us.
What Our Happy Customers Say About Us
Joseph Wairo
Mfanya Biashara, Tunduma Mbeya
Nawashukuru Givenall.com Maana mmenisaidia sana kwenye manunuzi ya bidhaa zangu zote za hapa kwangu. Nilinunua Tv ya TCL Nchi 65 hadi sasa ni nzima na ni Og PA Nikanunua Friji ya hisense kubwa na hadi leo bado ipo.. na vyote nilikuwa nalipa kidogo kidogo.. Hii ilinisaidia kumaliza malipo taratibu hadi kufanikisha manunuzi
Kiufupi Nasema: "Givenall.com mnatuwezesha kutimiza malengo yetu"
Mama Jafari
Mama Ntilie, Nyamagana Mwanza
Nilikuwa namwaga chakula kila siku kikilala, Nyanya na bidhaa nyingine za magengeni kama karoti na hoho zilikuwa zinaharibika kila siku kwa kukosa freeza la kuhifadhia, na hali ilikuwa ngumu sana kwenye biashara yangu ya Kupika chakula na sikuwa na kitu, lakini nawashukuru sana nyie Givenall.com kwa kunikopesha Freeza ambayo inanisaidia sana kuepusha kupoteza hela. Hakika Mungu atawasimamia
Kiufupi Nasema: "Naamini mnayainua maisha ya watu wengi sana kamama mimi hivyo Mungu atawabariki"
Deus Christopher
Finace Manager, Dar es Salaam TZ
Nisingependa niwasifie sana, Isipokuwa tu mimi naona bidhaa zenu nzuri maana toka nimenunua kwenu tv yangu ya hisense nchi 75 huu ni mwaka wa tautu sasa sijaona tatizo na warranty card yenu niliitunza sana nikajua ipo siku chochote kinaweza kutokea lakini, sijaona shida.. so Nadhani mnastaili kuitwa kampuni bora ya uuzaji wa bidhaa yakuaminika mtandaoni
Kiufupi Nasema: "Nadhani Nyie Givenall.com ndio kampuni bora ya kuaminika mtandanoni kutokana na bidhaa zenu kuwa imara"
Hassan Ally
Mfanyabisahara, Dodoma
Nilianza kama utani vile kulipa kidogo kidogo maana nakumbuka nilianza na buku, nikasema hivi hawa jamaa wanaaminika kweli au watakula hela yangu na kukimbia.. Lakini nikajipa moyo inawezekana ni wakweli.. Nashukuru Mungu akaniwezesha nikamaliza malipo ya friji yangu yenye kioo mbele yakuuzia vinywaji ila bado nilikuwa siamini.. hadi siku mliponipigia simu nakuniambia mzigo wako uko njiani ndo nikaamini kuwa mko siriazi na mnafanya bishara kweli... Ama kwa hakika nyie sio matapeli bali ni wa kweli kabisa
Kiufupi Nasema: "Kwakuwa mlinisaidia nikalipa kidogo kidogo basi bila nyie Givenall.com nisinge fanikisha kumiliki bidhaa ya bei ghali"
Json Fredrick
Children, Dar es Salaam TZ
" Our sincerely grateful goes to those, Opening Hrs: 08:00-16:00 Monday to Friday Our sincerely grateful goes to those clients who has been good enough to recomend us to their friends, families and colleagues. See how some among thousands of our satisfied clients has to say about us., Over 2000 clients trust us and rely on us to get the best furniture at cheapest prices in town every day.. "
Simply Ican say: " Givenall.com you helped me to get the best furniture "
Kassim Rikutu
Business Man, Dar es salaam TZ
" Our sincerely grateful goes to those, Opening Hrs: 08:00-16:00 Monday to Friday Our sincerely grateful goes to those clients who has been good enough to recomend us to their friends, families and colleagues. See how some among thousands of our satisfied clients has to say about us., Over 2000 clients trust us and rely on us to get the best furniture at cheapest prices in town every day.. "
Simply Ican say: " Givenall.com never happen before "
Aisha Hussein
Mfanyabishara, Newala Mtwara
"Shoga yangu aliniletea habari zenu kwa mara ya kwanza maana yeye alituma hela bila kuja Dar na Tv yake ikaletwa nikashangaa sana, nikamwambia nilijua utatapeliwa.. Akacheka sana akaniambia Givenall.com ndio mtandao pekee ambao watu wa mikoani wananunua bidhaa kutoka kwao na wanalipa wakiwa mkoani na bidhaa zinawafikia kwa uhakika.. basi na mimi nikajaribu nikatuma laki 900,000 huku kimoyo kikiwa kinanidunda.. Maana nikuwa siamini kama sitatapeliwa lakini nawashukuru maana mlinitumia friji yangu ya aina ya Boss hadi ikafika na ndo sasa nimeamini na nimekuwa balozi wenu.."
Kiufupi Nasema: "Achana na matapeli kama uko mkoani na huna ndugu Dar basi watumie hela Givenall.com watakuletea mzigo wako kwa uaminifu mkubwa"
Shakuntala Devie
Mfanyabiashara, Kariakoo Dsm
"Nimezoea kufanya manunuzi yangu ya bidhaa zangu za ndani kutoka kwenu.. maana kila siku huwa naunua kutoka kwenu, kwahiyo kila kitu cha ndani kwangu kimetoka kwenu, so inatakiwa hat siku nyingine mnipe ofa kubwa. Huwa napenda kuwaungisha nyie kuliko kushuka chini na kwenda madukani kwakuwa madukani wanauza bidhaa bei kubwa sana.. pamoja yakuwa naishi karikoo kwenye maduka mengi ila naona bora nisinunue bidhaa za electronic madukani kwa sababu ya bei na pia hawajali mteja bidhaa inapoleta changamoto kama nyie mnavyo jali wateja wenu.."
Kiufupi Nasema: "Mnajali sana wateja wenu kipindi bidha zinapopata shida so mnastahili kuwa wauzaji bora na kila mtu anatakiwa anunu kwenu ili kuepuka stress"