^
UP
X
BEI ZA BIDHAA
Tafadhali Badili Bei Ya Bidhaa Yako
Jina La Bidhaa: -------------
Namba Ya Bidhaa: GVL 00000000-000000
MWONEKANO WA BIDHAA
Tafadhali Chagua Mwonekano Wa Bidhaa Yako
Jina La Bidhaa: -------------
Namba Ya Bidhaa: GVL 00000000-000000
Ili uendelee bonyeza
Sign Up = Fungua akaunt mpya kama huna au
Log In = Ingia kwenye akaunti yako kama unayo
* Andika jina lako la kwanza...
* Andika jina lako la pili...
* Andika neno lako la siri...
Je umesahau neno lako la siri..? Bonyeza hapa
Kama huna akaunti.. Fungua akaunti mpya hapa
PAKUA PICHA ZA KWALITY NDOGO
PAKUA PICHA ZA KWALITY KUBWA
+255 760 600 400 | +255 760 600 200
S.L.P 9074 Dsm Tz | Muda wa kufungua 2:00Asb-2:00Usk
Ofisi Zipo: Ubungo Kibangu (Ofisi Kuu) | Kkoo Masasi Dsm Tz (Tawi)
Kurasa ya Bidhaa
Jina: Mr Uk Sabufa Spika 5
Namba ya Bidhaa: GVL-01022024-111448
<
>
MAELEZO YA BIDHAA
-> Hii Ni Sabufa Ya Mr Uk Ina Spika 5 Zenye Mziki Mnene Sana
-> Zina Ubora Wa Hali Ya Juu Sana Na Warranty Ya Uhakika Mwaka Mzima
Jina: Mr Uk Sabufa Spika 5
Namba ya Bidhaa: GVL-01022024-111448
Bei Ilikuwa Tsh
238,800/=
Bei Ya Sasa Tsh
199,000/=
17% Ofa
Una Okoa Tsh 39,800/=
KUMBUKA
Bidhaa hii haina mkopo, lakini unaweza kuulizia utawala,
Kama wanaweza kukuandalia mkopo maalum kwaajili yako.
SHERIA ZA MANUNUZI
-> Kuletewa bidhaa kwa wakazi wa Dar es salaam ni bure, na wakazi wa mikoani mtachangia kiasi cha Tsh 20,000/= kama gharama za usafiri
-> Muda wa kuletewa bidhaa ni ndani ya saa 1 hadi masaa 12 kutokea muda ambao ulikamilisha malipo
-> Tunaleta bidhaa bure na kwa haraka zaidi haijawahi kutokea
-> Tunafanya ufungaji wa bure kwa bidhaa za kufunga na kuunganisha. Mfano ukinunua TV tutakufungia ukutani bure
-> Kila bidhaa inahusika na sheria zake za warantii
-> Bidhaa inaweza kurudishwa kama haijakubaliwa na mteja na pesa iliyokwisha lipwa itarudishwa kwenye akaunti yake kwa kuzingatia vigezo na mashart vya mauzo ya bidhaa
Tunapokea Malipo Kupitia
Jina la Bidhaa | Mr Uk Sabufa Spika 5 |
Namba ya Bidhaa | GVL-01022024-111448 |
Bei Ya Awali Ilikuwa | Tsh 238,800/= |
Bei Ya Sasa Ni | Tsh 199,000/= |
Asilimia Ya Punguzo | 17% | Kundi |
---|---|
Kundi Jumuishi La Bidhaa | Electronics_and_accessories |
Kundi Kuu La Bidhaa | Subwoofer |
Kundi La kati La Bidhaa | Spika 5 | Warantii |
Hali Ya Bidhaa | Mpya | Vipimo |
Aina Ya Umeme Inayotumia | Ac And Dc | Wasifu Wa Ziada |
Wasifu Wa Ziada 1 | Audio Channel 5.1 |
Wasifu Wa Ziada 2 | Five Speakers |
Wasifu Wa Ziada 3 | Usb Flash Drive, Memory Card, Aux Support (ina Chomeka Flash, Memory Na Waya Wa Sauti Kwenye Tv |
Wasifu Wa Ziada 4 | Remote Control Included (ina Remote Control) |
BIDHAA ZINAZO FANANA (44)