^
UP
X
BEI ZA BIDHAA
Tafadhali Badili Bei Ya Bidhaa Yako
Jina La Bidhaa: -------------
Namba Ya Bidhaa: GVL 00000000-000000
MWONEKANO WA BIDHAA
Tafadhali Chagua Mwonekano Wa Bidhaa Yako
Jina La Bidhaa: -------------
Namba Ya Bidhaa: GVL 00000000-000000
Ili uendelee bonyeza
Sign Up = Fungua akaunt mpya kama huna au
Log In = Ingia kwenye akaunti yako kama unayo
* Andika jina lako la kwanza...
* Andika jina lako la pili...
* Andika neno lako la siri...
Je umesahau neno lako la siri..? Bonyeza hapa
Kama huna akaunti.. Fungua akaunti mpya hapa
PAKUA PICHA ZA KWALITY NDOGO
PAKUA PICHA ZA KWALITY KUBWA
+255 760 600 400 | +255 760 600 200
S.L.P 9074 Dsm Tz | Muda wa kufungua 2:00Asb-2:00Usk
Ofisi Zipo: Ubungo Kibangu (Ofisi Kuu) | Kkoo Masasi Dsm Tz (Tawi)
Kurasa ya Bidhaa
Jina: Electric Chapati Maker
Namba ya Bidhaa: GVL-18122023-163132
<
>
MAELEZO YA BIDHAA
-> Hii Ni Mashine Ya Kupika Chapati, Ni Jiko Pia Na Linatumia Umeme Kidogo Sana,
-> Linaokoa Muda Na Haigandii Chapati, Inatumia Mafuta Kidogo Na Umeme Kidogo Pia
Jina: Electric Chapati Maker
Namba ya Bidhaa: GVL-18122023-163132
Bei Ilikuwa Tsh
101,200/=
Bei Ya Sasa Tsh
99,000/=
2% Ofa
Una Okoa Tsh 2,200/=
KUMBUKA
Bidhaa hii haina mkopo, lakini unaweza kuulizia utawala,
Kama wanaweza kukuandalia mkopo maalum kwaajili yako.
SHERIA ZA MANUNUZI
-> Kuletewa bidhaa kwa wakazi wa Dar es salaam ni bure, na wakazi wa mikoani mtachangia kiasi cha Tsh 20,000/= kama gharama za usafiri
-> Muda wa kuletewa bidhaa ni ndani ya saa 1 hadi masaa 12 kutokea muda ambao ulikamilisha malipo
-> Tunaleta bidhaa bure na kwa haraka zaidi haijawahi kutokea
-> Tunafanya ufungaji wa bure kwa bidhaa za kufunga na kuunganisha. Mfano ukinunua TV tutakufungia ukutani bure
-> Kila bidhaa inahusika na sheria zake za warantii
-> Bidhaa inaweza kurudishwa kama haijakubaliwa na mteja na pesa iliyokwisha lipwa itarudishwa kwenye akaunti yake kwa kuzingatia vigezo na mashart vya mauzo ya bidhaa
Tunapokea Malipo Kupitia
Jina la Bidhaa | Electric Chapati Maker |
Namba ya Bidhaa | GVL-18122023-163132 |
Bei Ya Awali Ilikuwa | Tsh 101,200/= |
Bei Ya Sasa Ni | Tsh 99,000/= |
Asilimia Ya Punguzo | 2% | Kundi |
---|---|
Kundi Jumuishi La Bidhaa | Electronics_and_accessories |
Kundi Kuu La Bidhaa | Stove_bunner_or_cooker |
Nchi Iliko Tengenezwa | China |
Mwaka Wa Kutengenezwa | 2023 | Warantii |
Hali Ya Bidhaa | Mpya | Vipimo |
Urefu | 80 Centimetres (Cm) |
Aina Ya Umeme Inayotumia | Ac | Wasifu Wa Ziada |
Wasifu Wa Ziada 1 | Inapika Chapati Kwa Haraka |
Wasifu Wa Ziada 2 | Chapati Hazi Gandii |
Wasifu Wa Ziada 3 | Inatumia Umeme Kidogo |
Wasifu Wa Ziada 4 | Inaokoa Muda |
BIDHAA ZINAZO FANANA (73)