MWONEKANO WA BIDHAA
Tafadhali Chagua Mwonekano Wa Bidhaa Yako
Jina La Bidhaa: -------------
Ili uendelee bonyeza
Sign Up = Fungua akaunt mpya kama huna au
Log In = Ingia kwenye akaunti yako kama unayo
* Andika jina lako la kwanza...
* Andika jina lako la pili...
* Andika neno lako la siri...
Je umesahau neno lako la siri..? Bonyeza hapa
Kama huna akaunti.. Fungua akaunti mpya hapa
PAKUA PICHA ZA KWALITY NDOGO
PAKUA PICHA ZA KWALITY KUBWA
+255 760 600 200 | +255 760 600 400
S.L.P 9074 Dsm Tz | Muda wa kufungua 2:00Asb-2:00Usk
Ofisi Zipo: Ubungo Kibangu (Ofisi Kuu) | Kkoo Masasi Dsm Tz (Tawi)
Kurasa ya Bidhaa
Jina: Aborder Soundbar = Ab55max
Namba ya Bidhaa: GVL-31012024-131114
<
>
MAELEZO YA BIDHAA
-> Hii Ni Soundbar Ndogo Ya Aborder Ina Watts 55 Na Ina Ubora Wa Juu Sana
-> Mziki Wake Umetulia Sana Na Hauna Kelele
Jina: Aborder Soundbar = Ab55max
Namba ya Bidhaa: GVL-31012024-131114
Bei Ilikuwa Tsh
120,780/=
Bei Ya Sasa Tsh
99,000/=
18% Ofa
Una Okoa Tsh 21,780/=
TAARIFA NJEMA
Bidhaa hii ina 30% ya Mkopo wa kuweza kulipwa ndani ya kipindi cha MWEZI 1 NA WIKI 2,
Hivyo unaweza kuomba mkopo huu..!
SHERIA ZA MANUNUZI
-> Kuletewa bidhaa kwa wakazi wa Dar es salaam ni bure, na wakazi wa mikoani mtachangia kiasi cha Tsh 20,000/= kama gharama za usafiri
-> Muda wa kuletewa bidhaa ni ndani ya saa 1 hadi masaa 12 kutokea muda ambao ulikamilisha malipo
-> Tunaleta bidhaa bure na kwa haraka zaidi haijawahi kutokea
-> Tunafanya ufungaji wa bure kwa bidhaa za kufunga na kuunganisha. Mfano ukinunua TV tutakufungia ukutani bure
-> Kila bidhaa inahusika na sheria zake za warantii
-> Bidhaa inaweza kurudishwa kama haijakubaliwa na mteja na pesa iliyokwisha lipwa itarudishwa kwenye akaunti yake kwa kuzingatia vigezo na mashart vya mauzo ya bidhaa
Tunapokea Malipo Kupitia
Jina la Bidhaa | Aborder Soundbar = Ab55max |
Namba ya Bidhaa | GVL-31012024-131114 |
Bei Ya Awali Ilikuwa | Tsh 120,780/= |
Bei Ya Sasa Ni | Tsh 99,000/= |
Asilimia Ya Punguzo | 18% | Kundi |
---|---|
Kundi Jumuishi La Bidhaa | Electronics_and_accessories |
Kundi Kuu La Bidhaa | Soundbar |
Modeli ya Bidhaa | Ab-55max |
Rangi Kuu | Black | Warantii |
Hali Ya Bidhaa | Mpya |
Warantii | 1 Mwaka | Wasifu Wa Ziada |
Wasifu Wa Ziada 1 | 55 Output Watts |
BIDHAA ZINAZO FANANA