^
UP
X
BEI ZA BIDHAA
Tafadhali Badili Bei Ya Bidhaa Yako
Jina La Bidhaa: -------------
Namba Ya Bidhaa: GVL 00000000-000000
MWONEKANO WA BIDHAA
Tafadhali Chagua Mwonekano Wa Bidhaa Yako
Jina La Bidhaa: -------------
Namba Ya Bidhaa: GVL 00000000-000000
Ili uendelee bonyeza
Sign Up = Fungua akaunt mpya kama huna au
Log In = Ingia kwenye akaunti yako kama unayo
* Andika jina lako la kwanza...
* Andika jina lako la pili...
* Andika neno lako la siri...
Je umesahau neno lako la siri..? Bonyeza hapa
Kama huna akaunti.. Fungua akaunti mpya hapa
PAKUA PICHA ZA KWALITY NDOGO
PAKUA PICHA ZA KWALITY KUBWA
+255 760 600 400 | +255 760 600 200
S.L.P 9074 Dsm Tz | Muda wa kufungua 2:00Asb-2:00Usk
Ofisi Zipo: Ubungo Kibangu (Ofisi Kuu) | Kkoo Masasi Dsm Tz (Tawi)
Kurasa ya Bidhaa
Jina: Hisense Friji Lita 223 = H300bts
Namba ya Bidhaa: GVL-31012024-131954
<
>
MAELEZO YA BIDHAA
-> Friji Hii Ya Hisense Ina Ubora Wa Hali Ya Juu Sana Nawonekano Mzuri, Sana Ni Imara Sana Na Naamini Utaipenda
-> Tunakupa Warranty Miaka Mitatu Ukinunua Hii
Jina: Hisense Friji Lita 223 = H300bts
Namba ya Bidhaa: GVL-31012024-131954
Bei Ilikuwa Tsh
910,860/=
Bei Ya Sasa Tsh
819,000/=
10% Ofa
Una Okoa Tsh 91,860/=
KUMBUKA
Bidhaa hii haina mkopo, lakini unaweza kuulizia utawala,
Kama wanaweza kukuandalia mkopo maalum kwaajili yako.
SHERIA ZA MANUNUZI
-> Kuletewa bidhaa kwa wakazi wa Dar es salaam ni bure, na wakazi wa mikoani mtachangia kiasi cha Tsh 20,000/= kama gharama za usafiri
-> Muda wa kuletewa bidhaa ni ndani ya saa 1 hadi masaa 12 kutokea muda ambao ulikamilisha malipo
-> Tunaleta bidhaa bure na kwa haraka zaidi haijawahi kutokea
-> Tunafanya ufungaji wa bure kwa bidhaa za kufunga na kuunganisha. Mfano ukinunua TV tutakufungia ukutani bure
-> Kila bidhaa inahusika na sheria zake za warantii
-> Bidhaa inaweza kurudishwa kama haijakubaliwa na mteja na pesa iliyokwisha lipwa itarudishwa kwenye akaunti yake kwa kuzingatia vigezo na mashart vya mauzo ya bidhaa
Tunapokea Malipo Kupitia
Jina la Bidhaa | Hisense Friji Lita 223 = H300bts |
Namba ya Bidhaa | GVL-31012024-131954 |
Bei Ya Awali Ilikuwa | Tsh 910,860/= |
Bei Ya Sasa Ni | Tsh 819,000/= |
Asilimia Ya Punguzo | 10% | Kundi |
---|---|
Kundi Jumuishi La Bidhaa | Electronics_and_accessories |
Kundi Kuu La Bidhaa | Refrigerator |
Kundi La kati La Bidhaa | Free Standing |
Kundi Dogo La Bidhaa | Double Door |
Modeli ya Bidhaa | H225bts |
Rangi Kuu | Silver | Warantii |
Hali Ya Bidhaa | Mpya |
Warantii | 3 Miaka |
Ofa Ya Ziada Ya Bidhaa | Nunua Tukupe Na Friji Gadi Bure Kwaajili Ya Ulinzi Wa Umeme | Vipimo |
Urefu | 57 Centimetres (Cm) |
Upana | 55 Centimetres (Cm) |
Kimo | 1.60 Metres (M) |
Ujazo Halisi | 223 Litres (Lts) |
Aina Ya Umeme Inayotumia | Ac |
Volti Za Umeme Inazotumia | 110-120 Volts 50hrz - 305 Kw Per Year | Wasifu Wa Ziada |
Wasifu Wa Ziada 1 | Recessed Handles (haina Mikono Iliochomoza Ila Ina Mishikio Ya Ndani) |
Wasifu Wa Ziada 2 | With Durable Led Light (ina Taa Inayowaka Ukifungua Friji) |
Wasifu Wa Ziada 3 | Bottom Freezer With 63 Liters (freeza Iko Kwenye Mlango Wa Chini Ina Lita 63) |
Wasifu Wa Ziada 4 | Top Refrigerator With 160 Liters ( Friji Ya Kupooza Ipo Kwa Juu Na Ina Lita 160) |
BIDHAA ZINAZO FANANA (118)