Furnitures And Accessories
Electronics And Accessories
Clothes And Fashions
Kitchenwares And Housewares
Gardens And Cleanings
Tv
Subwoofer
Friji
Printer Copier Or Scanner
Fan
Decoder Accessories
Water Dispensor
Rack
Tv Accessories
Table
Stool
Air Conditioner Or Cooler
Brender Or Grinder
Bed
Brender
Ironing
Subwoofer
Window
Mirror
Spoon
Board
Projector
Other Electronic Product
Mixer
Refrigerator
Pergola
Washer Machine
Tv
^
UP
X
BEI ZA BIDHAA
Tafadhali Badili Bei Ya Bidhaa Yako
Jina La Bidhaa: -------------
Namba Ya Bidhaa: GVL 00000000-000000
MWONEKANO WA BIDHAA
Tafadhali Chagua Mwonekano Wa Bidhaa Yako
Jina La Bidhaa: -------------
Namba Ya Bidhaa: GVL 00000000-000000
Ili uendelee bonyeza
Sign Up = Fungua akaunt mpya kama huna au
Log In = Ingia kwenye akaunti yako kama unayo
* Andika jina lako la kwanza...
* Andika jina lako la pili...
* Andika neno lako la siri...
Je umesahau neno lako la siri..? Bonyeza hapa
Kama huna akaunti.. Fungua akaunti mpya hapa
PAKUA PICHA ZA KWALITY NDOGO
PAKUA PICHA ZA KWALITY KUBWA
+255 760 600 400 | +255 760 600 200
S.L.P 9074 Dsm Tz | Muda wa kufungua 2:00Asb-2:00Usk
Ofisi Zipo: Kkoo Ndanda Dsm Tz (Ofisi Kuu) | Mabibo Hostel Dsm Tz (Tawi)
Kurasa ya Bidhaa
Jina: Rising Feni Ya Kuchaji Size 18 Inches
Namba ya Bidhaa: GVL-10062024-100132
<
>
MAELEZO YA BIDHAA
Joto Kaliii 🔥 🔥 🔥 🔥 Kwishaa Umeme Ukikata Usiwazeeee Chukua Hii👇👇👇 ✅ Unachaji Kwa Umeme Wa Kawaida ✅umeme Ukikata, Yenyewe Inaendelea Kufanya Kazi Kwa Sababu Ni Za Kuchaji. ✅inakaa Na Chaji Masaa 12 Ukiwa Unatumia High Speed( Namba 3) ✅ Kitumia Kwenye Speed Ya Kawaida (namba 2), Unaweza Kutumia Siku Moja. ✅ina Uwezo Wa Kuchaji Simu Tena Kwa Uharaka Kwa Sabab Ina 5v. ✅ina Led Light, ✅size 18 ✅zinatumia Remote Control. Sio Lazima Usimame Ndo Uwashe, We Kaa Zako Kwenye Sofa Tumia Remote. ✅pia Kwa Wale Wanaotumia Umeme Wa Solar Hii Inafaa, Kwa Sababu Inamudu Umeme Wa Solar Na Tanesco.
Jina: Rising Feni Ya Kuchaji Size 18 Inches
Namba ya Bidhaa: GVL-10062024-100132
Bei Ilikuwa Tsh
223,000/=
Bei Ya Sasa Tsh
189,000/=
15% Ofa
Una Okoa Tsh 34,000/=
KUMBUKA
Bidhaa hii haina mkopo, lakini unaweza kuulizia utawala,
Kama wanaweza kukuandalia mkopo maalum kwaajili yako.
SHERIA ZA MANUNUZI
-> Kuletewa bidhaa kwa wakazi wa Dar es salaam ni bure, na wakazi wa mikoani mtachangia kiasi cha Tsh 20,000/= kama gharama za usafiri
-> Muda wa kuletewa bidhaa ni ndani ya saa 1 hadi masaa 12 kutokea muda ambao ulikamilisha malipo
-> Tunaleta bidhaa bure na kwa haraka zaidi haijawahi kutokea
-> Tunafanya ufungaji wa bure kwa bidhaa za kufunga na kuunganisha. Mfano ukinunua TV tutakufungia ukutani bure
-> Kila bidhaa inahusika na sheria zake za warantii
-> Bidhaa inaweza kurudishwa kama haijakubaliwa na mteja na pesa iliyokwisha lipwa itarudishwa kwenye akaunti yake kwa kuzingatia vigezo na mashart vya mauzo ya bidhaa
Tunapokea Malipo Kupitia
Jina la Bidhaa | Rising Feni Ya Kuchaji Size 18 Inches |
Namba ya Bidhaa | GVL-10062024-100132 |
Bei Ya Awali Ilikuwa | Tsh 223,000/= |
Bei Ya Sasa Ni | Tsh 189,000/= |
Asilimia Ya Punguzo | 15% | Kundi |
---|---|
Kundi Jumuishi La Bidhaa | Electronics_and_accessories |
Kundi Kuu La Bidhaa | Fan |
Kundi La kati La Bidhaa | Free Standing | Warantii |
Hali Ya Bidhaa | Mpya |
Warantii | 1 Mwaka | Wasifu Wa Ziada |
Wasifu Wa Ziada 1 | Inakaa Na Chaji Siku Nzima |
BIDHAA ZINAZO FANANA (12)