Kwa Msaada Piga:

0760 600 400

Au

0760 600 200

X

BACK

TAFUTA

^

UP

X

  +255 760 600 400   |   +255 760 600 200

 S.L.P 9074 Dsm Tz   |   Muda wa kufungua 2:00Asb-2:00Usk

 Ofisi Zipo: Kkoo Ndanda Dsm Tz (Ofisi Kuu)   |   Mabibo Hostel Dsm Tz (Tawi)

Kurasa ya Bidhaa

Jina: Smart Projector 4k Uhd

Namba ya Bidhaa: GVL-13082024-141200

<

>

image01 image02 image03 image04 image05 image06 image07 image08 image09 image10 image11 image12
image 01 image 02 image 03 image 04 image 05
image 06 image 07 image 08 image 09 image 10
image 11 image 12

PAKUA PICHA ZA BIDHAA

Shea

Linki

MAELEZO YA BIDHAA

*smart Projector*

New Model: Hy350
Je Unahitaji Kuboresha/kuanzisha Banda La Maonyesho Ya Mipira A.k.a Vibanda Umiza? Je Training Vipi? Matumizi Binafsi Je?
*jibu: Yes✅*

✨inapicha Nzuri Sana 4k
✨ina Project Kuanzia 20” Hadi 200”
✨ina Picha Nzuri Sana Inafaa Kwa Matumizi Ya Mipira/shuleni/kanisani/mikutanoni/nyumbani N.k
✨display Technology Led Display
✨ina Mwanga Wa Juu Sana Na Inaproject Kubwa Sana (hata Ukumbi Wa Watu 10-300 Unatumia)
✨ina Port Ya Hdmi 1,usb 1, Aux, Ina Access Ya Kuconnect Wifi/internet
✨ina 3pcs Of Glass Lens
✨ni Design Mpya Na Quality Imeongezwa
✨lamp Life Imeongezwa Hadi Masaa 30.000 Ambayo Tukichukulia Mfano Unatumia Masaa 6 Zaidi Kwa Siku Basi Utatumia Kwa Miaka 20+ So Inadumu Sana🔥
✨ina Built In Lens Protector
✨unaweza Kuunganisha Na Laptop/simu/king’amuzi Chochote
✨clear Picture
✨unatumia Wakati Wowote Mchana/asubuhi/usiku
✨umeme Kidogo Sana Inatumia
✨unaweza Kuunganisha Na Speaker Ukapata Sauti Kubwa Zaidi

Jina:   Smart Projector 4k Uhd

Namba ya Bidhaa:  GVL-13082024-141200

Bei Ilikuwa Tsh

688,000/=

Bei Ya Sasa Tsh

620,000/=

10% Ofa

Una Okoa Tsh 68,000/=

Piga simu namba

+255 760 600 400

Au

+255 760 600 200

NUNUA BIDHAA LIPA KIDOGO KIDOGO LIPIA UKISHAPOKEAOMBA PUNGUZO

Chagua Njia Ya Malipo

tigopesa_logo_jpg mpesa_logo_jpg airtel_money_logo_jpg halopesa_logo_jpg tpesa_logo_jpg ezypesa_logo_jpg

KUMBUKA

Bidhaa hii haina mkopo, lakini unaweza kuulizia utawala,
Kama wanaweza kukuandalia mkopo maalum kwaajili yako.

ULIZIA MKOPO
free_delivery_img

SHERIA ZA MANUNUZI

-> Kuletewa bidhaa kwa wakazi wa Dar es salaam ni bure, na wakazi wa mikoani mtachangia kiasi cha Tsh 20,000/= kama gharama za usafiri

-> Muda wa kuletewa bidhaa ni ndani ya saa 1 hadi masaa 12 kutokea muda ambao ulikamilisha malipo

-> Tunaleta bidhaa bure na kwa haraka zaidi haijawahi kutokea

-> Tunafanya ufungaji wa bure kwa bidhaa za kufunga na kuunganisha. Mfano ukinunua TV tutakufungia ukutani bure

-> Kila bidhaa inahusika na sheria zake za warantii

-> Bidhaa inaweza kurudishwa kama haijakubaliwa na mteja na pesa iliyokwisha lipwa itarudishwa kwenye akaunti yake kwa kuzingatia vigezo na mashart vya mauzo ya bidhaa

Tunapokea Malipo Kupitia

mobile-payments

WASIFU WA BIDHAA

Jina la Bidhaa Smart Projector 4k Uhd
Namba ya Bidhaa GVL-13082024-141200
Bei Ya Awali Ilikuwa Tsh 688,000/=
Bei Ya Sasa Ni Tsh 620,000/=
Asilimia Ya Punguzo 10%
Kundi
Kundi Jumuishi La Bidhaa Electronics_and_accessories
Kundi Kuu La Bidhaa Projector
Kundi La kati La Bidhaa Smart Projector
Kundi Dogo La Bidhaa Projector
Muda Wa Kutengenezwa
Warantii
Hali Ya Bidhaa Mpya
Warantii 1 Mwaka
Urefu 0 Centimetre (Cm)
Upana 0 Centimetre (Cm)
Kimo 0 Centimetre (Cm)
Uzito 0 Gram (G)
Ujazo Halisi 0 Millilitre (Ml)

BIDHAA ZINAZO FANANA  (1)

Tsh  620,000

Smart Projector 4k Uhd

Na:  GVL-13082024-141200