BIDHAA MPYA

14% Punguzo
Alitop Jiko La Gesi Size Plet 3 Gesi 1 Umeme Na Oven Umeme 50x55cm
New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
428,000
369,000

13% Punguzo
Alitop Jiko La Oven Plet 3 Gesi 1 Umeme Size Cm60x60
New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
545,000
474,000

20% Punguzo
Alitop Jiko La Oven Plet 3 Gesi 1 Umeme Size 50x50
New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
461,000
369,000

10% Punguzo
Hisense Soundbar Watts 240 = Hs2100
New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
371,000
334,000

16% Punguzo
Aiwa Soundbar Watts 500 Wireless
Brand New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
403,000
339,000

17% Punguzo
Hisense Freezer Lita 249 White = H320cf
New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
846,000
705,000

13% Punguzo
Boss Friji Lita 60 = Bs60svr
New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
413,000
359,000

11% Punguzo
Solarmax Tv Nchi 43 Smart Frameless
Brand New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
428,000
379,000

11% Punguzo
Generator Mr Uk
Brand New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
587,000
524,000

15% Punguzo
Canon Pixma G3410 All In One Color Print Wireless
New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
471,000
399,000

19% Punguzo
Epson Color Inkjet Printa With Eco Tank = L3210
New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
448,000
364,000

9% Punguzo
Epson Printer L3250 Wireless Ina Print Ina Scani Na Kutoa Copy
New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
428,000
389,000

13% Punguzo
Hisense Smart Tv 50 Inches
Brand New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
764,000
664,000

16% Punguzo
Kitchen Cabinet
Brand New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
302,000
254,000

16% Punguzo
Roch Kitchen Gas 50x55
Brand New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
564,000
474,000

19% Punguzo
Kitanda Cha Chuma
Brand New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
321,000
259,000

20% Punguzo
Marshal Fan
Brand New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
86,000
69,000

20% Punguzo
Europe Min Friji Lita 100 Milango Miwili Juu Freeza
Brand New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
386,000
309,000

9% Punguzo
Photocopy Canon 2425i
Brand New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
3,443,000
3,130,000

14% Punguzo
Generator Mr Uk
Brand New
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
973,000
839,000
BIDHAA NYINGINEZO

4% Punguzo
Double Pane Wooden Window With Glass
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
257,000
248,000

13% Punguzo
Hisense Freezer Lita 520
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
1,471,000
1,279,000

9% Punguzo
Horizon Led Tv Nchi 32 Frameless Imara Sana Warranty Mwaka
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
213,000
194,000

15% Punguzo
Dressing Table
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
312,000
264,000

14% Punguzo
X.oda Mint Phone
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
21,000
18,000

14% Punguzo
Zbg Jiko La Gesi Plet 2 Bati
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
50,000
43,000

17% Punguzo
Boss Jiko La Gesi Plet 2 Wavu Na Banner Juu Kioo
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
95,000
79,000

18% Punguzo
Dorado Two Plates Gas Stove With Glass Top
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
71,000
58,000

13% Punguzo
Roch Gas Stoves Three Burners
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
97,000
84,000

19% Punguzo
New Model Fridge Uk
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
730,000
589,000

16% Punguzo
Globalstar Jiko La Gesi La Kusimama Size 50x50 Plet 2 Umeme Plet 2 Gesi
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
474,000
398,000

11% Punguzo
Hisense Jiko La Gesi Plet 4 Gesi Na Oven Gesi Full Gas No Electricity
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
660,000
589,000

17% Punguzo
Homebase Freeza Lita 116 White Ina Vioo Kwa Juu = Hb166
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
574,000
474,000

17% Punguzo
Goodvision Tv Nchi 43 Smart Double Glass
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
551,000
459,000

14% Punguzo
Hisense Tv Nchi 43 Smart 4k Uhd
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
730,000
629,000

10% Punguzo
Alitop Freeza Lita 212
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
720,000
649,000

12% Punguzo
Westpoint Friji Lita 231
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
952,000
835,000

10% Punguzo
Lg Home_theatre Watts 1000 Powerful Bass = Lhd677
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
798,090
719,000

14% Punguzo
Sea Piano Sabufa Spika 3 = Sp-0613
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
160,000
138,000

11% Punguzo
Solarmax Tv Nchi 32 Smart Double Glass
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
289,000
258,000

14% Punguzo
Gold Star Godoro Nchi 8 Size Futi 5 Kwa 6
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
207,000
177,000

12% Punguzo
Nikai Jiko La Gesi Plet 2 Juu Lina Bati Imara
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
141,000
124,000

15% Punguzo
Dimple Design White Leather Sofa Bed Size5x6ft
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
274,000
234,000

16% Punguzo
Hisense Friji Lita 246 Non Frost Ina Water Dispenser = H321ti-wd
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
1,305,000
1,097,000

12% Punguzo
Mr Uk Jenereta Kw 1.2
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
420,000
369,000

15% Punguzo
Dressing Table Yenye Kioo Kirefu
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
281,000
238,000

17% Punguzo
Mr Uk Friji Lita 282 Milango Minne = Uk158
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
1,676,000
1,385,000

16% Punguzo
Roch Kitchen Gas 50x55
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
564,000
474,000

14% Punguzo
Midea Washing Machine Kg 10 Front Loader Automatic Inafua Inakamua Na Kukausha
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
1,481,000
1,277,000

17% Punguzo
Meza Ya Kupikia
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
167,000
138,000

11% Punguzo
Zunne Sabufa Spika 3
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
133,000
119,000

14% Punguzo
Alitop Electric Oven
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
167,000
144,000

15% Punguzo
Kabati La Nguo Milango Miwili Rangi Nyeusi Lenye Droo Moja
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
294,000
249,000

15% Punguzo
Ailyons Tv Nchi 43 Smart Double Glass
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
524,000
448,000

16% Punguzo
Bruhm Friji Lita 275
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
962,000
808,000

19% Punguzo
Tcl Tv Nchi 32 Smart Android Google Tv
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
470,000
379,000

8% Punguzo
Little More Tv Nchi 43 Smart Double Glass
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
520,000
479,000

17% Punguzo
Delta Jiko La Oven Size 60x60 Plet 2 Umeme 2 Gesi Na Oven Inatumia Gesi
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
917,000
764,000

10% Punguzo
Tcl Friji Lita 635 = P635sb
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
2,155,000
1,941,000

11% Punguzo
Homebase Friji Lita 200 = Hb-25f
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
780,000
698,000

12% Punguzo
Aborder Friji Lita 320 Non Frost = Nf4320
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
1,333,000
1,169,000

12% Punguzo
Iphone Xr
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Refurbished
515,000
452,000

17% Punguzo
Hisense Tv Nchi 55 Smart 4k Uhd
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
1,085,000
904,000

12% Punguzo
Roch Tv Nchi 65 Smart 4k Uhd Frameless Vdaa
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
1,604,000
1,407,000

11% Punguzo
X-1 Jiko La Gesi Plet 2 Juu Kioo
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
65,000
58,000

16% Punguzo
Sony Soundbar And Hometheatre Watts 1000 = Ht-s700rf
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
New
1,480,000
1,239,000

21% Punguzo
Pritel P302
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
24,000
19,000

12% Punguzo
Redmi 15c
Ilikuwa Tsh
Sasa Tsh
Brand New
295,000
259,000
FAIDA UKINUNUA KWETU
GARANTII YA UHAKIKA
Kampuni nyingi hutoa warantii ila sisi tunatoa garantii. Garantii ni kubadilishiwa wakati Warantii ni kurekebishiwa, Hivyo ukinunua TV, Friji au Chohote, Tutakupa mpya kama itasumbua. Tunakupa bima ya bidhaa yako
LIPA KIDOGO KIDOGO
Pesa yako haijatimia..?, Usiwaze! kwetu unaweza lipa kidogo kidogo kwa muda fulani, Kwa njia hii unaweza kununua vitu vyenye thamani kubwa kwa kulipa kidogo kidogo utakavyo bila ukomo wa muda na ukimaliza utapewa bidhaa yako
TUNA KUJALI
Mpendwa mteja wetu, ukinunua bidhaa kwetu, hatuwezi kukutupa, bali tutaendelea kusimama pamoja na wewe, katika kipindi chote cha warantii ili kuhakikisha bidhaa yetu haileti shida bali inakidhi mahitaji yako
WARANTII NDEFU
Kila mteja anahaki ya kupata warantii ya uhakika na muda mrefu. Ndivyo tunavyofanya. Kila bidhaa yetu ina warantii ndefu kuhakikisha usalama wa hadi miaka 5. Hii inamaana tunakulindia bidhaa yako kwa muda mrefu zaidi
KULETEWA HARAKA
Tume vunja rekodi ya kusambaza bidhaa kwa haraka haijawahi tokea. Ndani ya lisaa toka ukamilishe malipo bidhaa ishafika mlangoni kwako. Timu yetu inatumia pikipiki maalum za kuweza kukwepa foleni na kukufikia haraka
GHARAMA NAFUU
Kwanini upoteze pesa zako nyingi wakati unaweza okoa kwa kununua kwetu..?, wateja wetu wanajua hii siri, bei wanazo kuta kwingine ni kubwa kuliko zetu, na bidhaa za kwingine sio bora kama zetu, ndiomaana wanabaki kwetu
UBORA WA BIDHAA
Tuna bidhaa imara haijawahi tokea. Bidhaa zetu ni original, tume zipima ubora ili kuhakikisha zinapambana kuleta matokeo mazuri wakati wa matumizi. Hii imefanya tuaminiwe na kuvutia wateja wengi kununua kwetu kila siku
KURUDISHA BIDHAA
Kama hujaridhishwa na bidhaa yetu, usiwaze irudishe kwetu, tutakubadilishia upate nzuri zaidi, nyingineyo au tutakurudishia pesa yako. Mchakato huu utafanyika haraka kama ulivyotulipa. Pesa yako inaheshimika muda wote
OKOA MUDA
Muda ni pesa kwanini uupoteze..? Kwanini uzunguke madukani na kutoa jasho wakati bidhaa zote zipo kiganjani mwako..? Watu Wengi wananunua mitandaoni sikuhizi, Kaa chini, chagua, lipia kisha pumzika, tutakuletea bure
MSAADA MUDA WOTE
Kama kuna sehemu umekwama, ondoa shaka tuna timu ya kukusaidia muda wowote 24/7. Tupigie au bonyeza msaada ili kujifunza chochote kuhusu mtandao wetu. Tumeweka mazingira rafiki kwaajili ya watu wote
MAONI YA WATEJA
Lengo letu ni kuboresha maisha yako
Soma maoni haya ili ujue wateja wetu wanasemaje kuhusu sisi
,,
Tv yangu ilipopata hitilafu na kuzima niliwaza kupoteza pesa yangu, Lakini kwakuwa nilikuwa na Garantii kadi yenu mlinipa Tv nyingine mpya. Nashauri watu wengine wasihatarishe pesa zao, Wanunue kwenu kwakuwa Garantii kadi zenu ni zauhakika kabisa na zitawasaidia
Beatrice Leonard
Sekretari Future Vision Stationeri
Mabibo Hosteli Dsm
,,
Ukiachilia mbali msaada mlionipa, lakini nimekuja kugundua kwamba, Bidhaa zenu pia zinadumu kwa muda mrefu sana. Hii inamaana zina maisha marefu. Hivyo nimewashauri marafiki zangu wote wanunue kwenu
Jcen Fredrick
CEO: FV Msabazaji Gesi
Ngoreme Musoma
,,
Kwa mara ya kwanza nilipoambiwa kuna kampuni inayo pokea malipo kidogo kidogo mtandaoni, Nilidhani ni utapeli, Hadi jana nilipo kamilisha malipo yangu na mkaniletea Tv yangu Hisense nchi 65 yenye ubora wa juu na kwality nzuri, sasa nime waamini.
David Patrick
Mfanyabiashara
Mbeya Mjini
,,
Katika maisha yangu yote, Sikuwahi kuona bei nafuu za bidhaa za umeme kama bei zenu. Mara ya kwanza nilihisi labda bidhaa zenu sio orijino, lakini baada yan kutumia, nilikuja kujua kuwa bidhaa zenu sio tu ni original lakini pia zina ubora wa juu sana, kutokea siku hiyo hadi sasa, kila kitu ninachohitaji nanunua kutoka kwenu. Hata friza langu la bishara nilinunua kutoka kwenu kwakuwa nyie ni wasikivu sana kwa wateja wenu
Oscar Nzunda
Mwanasheria
Iringa
,,
Miongoni mwa vitu ambavyo nyie mmetofautiana na wafanyabishara wengi sana, ni kwamba nyie ni wasikivu sana kwa wateja wenu, na mnajali sana wateja kuliko pesa. Mfano AC nilionunua kwenu ilipoleta shida kidogo tu, mkamtuma fundi akaja kuirekebisha, kumbe haikuwa na tatizo, ila nilipenda uharaka wenu katika kutatua matatizo ya wateja
Suzana Ndaki
Kondkta: Kisbo Safaris
Mwanza
,,
Givenall kwa sasa nyie sio tu kampuni ninayopenda kununua mahitaji yangu yote, bali pia mmekuwa kama kipenzi changu na rafikiyangu wa karibu zaidi wa muda wote. Hii ni kwasababu hatakama kiwango changu cha pesa hakijatimia nyie mmekuwa mkinipa bidhaa ninayoitaka kwa mkopo na kwa haraka zaidi. Sina lakusema ila nawashukuru sana
Sabrina Prosper
Mmiliki Sabrina Saluni Ya Urembo
Chanika Dsm
Watu 4005 Wanalipa Kidogo Kidogo Na 1505 Washachukua Bidhaa zao
Hujachelewa Bado Unaweza Kuanza Malipo Kwa Kulipa 1000 tu Kila Siku Anza Sasa




