^

UP

X

Kwa Msaada Piga:

0760 600 400

Au

0760 600 200

X

BACK

SEARCH

x

Mtumiaji

Salio Tsh 0/=

Kapu (0)

Taarifa Mpya (0)

Mtumiaji

Salio Tsh 0/=

Kapu (0)

(0)

+255 760 600 400 | +255 760 600 200

Menyu

Msaada

Akaunti

Ingia

English

Karibu Givenall.com

top_header.jpg
top_header.jpg
top_header.jpg

CHAGUA KUNDI LA BIDHAA

Elektroniki

Na Vifaa Vyake

Fenicha

Na Vifaa Vyake

Nguo

Na Fasheni

Vyombo Jikoni

& Vitu Vya Ndani

Vyombo Usafiri

Na Spea

Vipodozi

Na Urembo

Vyakula

Na Vinywaji

Bustani

Na Usafi

Ujenzi

Na Zana Zake

Nyumba Ardhi

Na Upangishaji

Michezo

Na Burudani

Wanyama

Na Vifaa Vyake

Elimu

Na Mafunzo

Vilimo

Na Zana Zake

Afya

Na Madawa

Uchimbaji

Na Zana Zake

Kazi

Na Ajira

Biashara

Na Huduma

Chochote

Na Vinginevyo

Mikopo

Na Malipo Kidogo

Wakala Mauzo

Na Ingiza Pesa

BIDHAA MPYA

MIKOPO MIKUBWA

BIDHAA NYINGINEZO

Ukurasa wa 22 kati ya 22

KWANINI UTUCHAGUE

MIKOPO YA BIDHAA

Hii inapatikana kwetu tu, Wateja wetu wote wana haki ya kuomba na kupata mikopo ya bidhaa mbali mbali. Jinsi unavyo nunua mara kwa mara na kuweka hela kwenye akaunti yako, unaongeza asilimia zako za mikopo

LIPA KIDOGO KIDOGO

Pesa yako haijatimia..?, Usiwaze! kwetu unaweza lipa kidogo kidogo kwa muda fulani, na utakapofikisha 75% ya bei, tutakupa bidhaa na utaendelea kulipa kiwango kilichobaki kidogo kidogo hadi utakapo maliza malipo yote

TUNA KUJALI

Mpendwa mteja wetu, ukinunua bidhaa kwetu, hatuwezi kukutupa, bali tutaendelea kusimama pamoja na wewe, katika kipindi chote cha warantii ili kuhakikisha bidhaa yetu haileti shida bali inakidhi mahitaji yako

WARANTII YA UHAKIKA

Kila mteja anahaki ya kupata warantii ya uhakika na muda mrefu. Ndivyo tunavyofanya. Kila bidhaa yetu ina warantii ndefu kuhakikisha usalama wa hadi miaka 5. Hii inamaana tunakulindia bidhaa yako kwa muda mrefu zaidi

KULETEWA HARAKA

Tume vunja rekodi ya kusambaza bidhaa kwa haraka haijawahi tokea. Ndani ya lisaa toka ukamilishe malipo bidhaa ishafika mlangoni kwako. Timu yetu inatumia pikipiki maalum za kuweza kukwepa foleni na kukufikia haraka

GHARAMA NAFUU

Kwanini upoteze pesa zako nyingi wakati unaweza okoa kwa kununua kwetu..?, wateja wetu wanajua hii siri, bei wanazo kuta kwingine ni kubwa kuliko zetu, na bidhaa za kwingine sio bora kama zetu, ndiomaana wanabaki kwetu

UBORA WA BIDHAA

Tuna bidhaa imara haijawahi tokea. Bidhaa zetu ni original, tume zipima ubora ili kuhakikisha zinapambana kuleta matokeo mazuri wakati wa matumizi. Hii imefanya tuaminiwe na kuvutia wateja wengi kununua kwetu kila siku

KURUDISHA BIDHAA

Kama hujaridhishwa na bidhaa yetu, usiwaze irudishe kwetu, tutakubadilishia upate nzuri zaidi, nyingineyo au tutakurudishia pesa yako. Mchakato huu utafanyika haraka kama ulivyotulipa. Pesa yako inaheshimika muda wote

OKOA MUDA

Muda ni pesa kwanini uupoteze..? Kwanini uzunguke madukani na kutoa jasho wakati bidhaa zote zipo kiganjani mwako..? Watu Wengi wananunua mitandaoni sikuhizi, Kaa chini, chagua, lipia kisha pumzika, tutakuletea bure

MSAADA MUDA WOTE

Kama kuna sehemu umekwama, ondoa shaka tuna timu ya kukusaidia muda wowote 24/7. Tupigie au bonyeza msaada ili kujifunza chochote kuhusu mtandao wetu. Tumeweka mazingira rafiki kwaajili ya watu wote

MAONI YA WATEJA

Lengo letu ni kuboresha maisha yako

Soma maoni haya ili ujue wateja wetu wanasemaje kuhusu sisi

,,

Sikutegemea kuwa mngeniamini kirahisi hivyo na mngenipa mkopo wa bidhaa kwa haraka. Nilikuwa nikitamani kuwa na TV kubwa kwa muda mrefu sana lakini nyie mmefanya ndoto zangu zitimie. Nahimiza wateja wengine waje kwenu

Beatrice Leonard

Sekretari Future Vision Stationeri

Mabibo Hosteli Dsm

,,

Ukiachilia mbali msaada mlionipa, lakini nimekuja kugundua kwamba, Bidhaa zenu pia zinadumu kwa muda mrefu sana. Hii inamaana zina maisha marefu. Hivyo nimewashauri marafiki zangu wote wanunue kwenu

Jcen Fredrick

CEO: FV Msabazaji Gesi

Ngoreme Musoma

,,

Kwa mara ya kwanza jamaayangu aliponiambia kuhusu kampuni inayotoa mikopo ya bidhaa kwa mashart rahisi na usajili wa mtandanoni, Nili hisi ni uongo, hadi jana mliponiletea Flati TV yangu ya hisense nchi 65 ikiwa na ubora wa juu na mwonekano angavu kwa mkopo, Hivyo kwa sasa nimewaamini. Givenall.com nyie ni kampuni kubwa

David Patrick

Mfanyabiashara

Mbeya Mjini

,,

Katika maisha yangu yote, Sikuwahi kuona bei nafuu za bidhaa za umeme kama bei zenu. Mara ya kwanza nilihisi labda bidhaa zenu sio orijino, lakini baada yan kutumia, nilikuja kujua kuwa bidhaa zenu sio tu ni original lakini pia zina ubora wa juu sana, kutokea siku hiyo hadi sasa, kila kitu ninachohitaji nanunua kutoka kwenu. Hata friza langu la bishara nilinunua kutoka kwenu kwakuwa nyie ni wasikivu sana kwa wateja wenu

Oscar Nzunda

Mwanasheria

Iringa

,,

Miongoni mwa vitu ambavyo nyie mmetofautiana na wafanyabishara wengi sana, ni kwamba nyie ni wasikivu sana kwa wateja wenu, na mnajali sana wateja kuliko pesa. Mfano AC nilionunua kwenu ilipoleta shida kidogo tu, mkamtuma fundi akaja kuirekebisha, kumbe haikuwa na tatizo, ila nilipenda uharaka wenu katika kutatua matatizo ya wateja

Suzana Ndaki

Kondkta: Kisbo Safaris

Mwanza

,,

Givenall kwa sasa nyie sio tu kampuni ninayopenda kununua mahitaji yangu yote, bali pia mmekuwa kama kipenzi changu na rafikiyangu wa karibu zaidi wa muda wote. Hii ni kwasababu hatakama kiwango changu cha pesa hakijatimia nyie mmekuwa mkinipa bidhaa ninayoitaka kwa mkopo na kwa haraka zaidi. Sina lakusema ila nawashukuru sana

Sabrina Prosper

Mmiliki Sabrina Saluni Ya Urembo

Chanika Dsm

Soma Maoni Zaidi

Tuma Maoni Yako