^

UP

X

Kwa Msaada Piga:

0760 600 400

Au

0760 600 200

X

BACK

SEARCH

x

Mtumiaji

Salio Tsh 0/=

Kapu (0)

Taarifa Mpya (0)

Mtumiaji

Salio Tsh 0/=

Kapu (0)

(0)

+255 760 600 400 | +255 760 600 200

Menyu

Msaada

Akaunti

Ingia

English

Karibu Givenall.com

top_header.jpg
top_header.jpg
top_header.jpg

Hadi Sasa Idadi Ya Watu Wanao Lipa Kidogo Kidogo Imefikia 3324

Watu 824 Wameisha Chukua Bidhaa Zao

Usingoje Pesa Ikamilike Mambo Nimengi Anza Sasa Lipa Hata Buku Tuu

CHAGUA KUNDI LA BIDHAA

Elektroniki

Na Vifaa Vyake

Fenicha

Na Vifaa Vyake

Nguo

Na Fasheni

Vyombo Jikoni

& Vitu Vya Ndani

Bustani

Na Usafi

Elimu

Na Mafunzo

BIDHAA MPYA

MIKOPO MIKUBWA

BIDHAA NYINGINEZO

16% Punguzo

Mo Electro Water Dispenser Njia Tatu Chini Ina Friji

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

312,000

262,000

16% Punguzo

Hisense Tv Nchi 100 Smart 4k Uhd Qled = 100q7n

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

9,139,000

7,680,000

12% Punguzo

Kabati La Milango Mitatu Lenye Dressing Table Na Kioo Cha Kuslide

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

423,000

374,000

14% Punguzo

Mr Uk Showcase Friji Lita 520

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

2,301,440

1,984,000

17% Punguzo

Hisense Soundbar Watts 510

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

997,000

824,000

14% Punguzo

Hisense Dish Washer (mashine Ya Kuoshea Vyombo)

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

1,293,000

1,115,000

17% Punguzo

Lg Loudr Hometheatre System Watts 480

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

671,000

559,000

12% Punguzo

Four Columns Kitchen Kabinet With Cooking Space

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

539,000

473,000

22% Punguzo

Lofida Dry Ironing Pasi Ya Umeme

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

37,000

29,000

14% Punguzo

Ailyons Oven Lita 35

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

157,000

135,000

19% Punguzo

Alitop Sabufa Ndogo Spika 2 = Sp4503

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

85,000

69,000

19% Punguzo

Evvoli Soundbar Watts 240

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

393,000

317,000

14% Punguzo

Kabati Languo Milango Mitatu

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

436,000

373,000

13% Punguzo

Boss Friji Lita 518 Side By Side

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

2,344,000

2,038,000

13% Punguzo

Roch Ac Btu 18000 - Non Inverta (haina Inverta)

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

1,189,000

1,034,000

9% Punguzo

Csn Party Speaker Watts 15000

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

391,000

355,000

9% Punguzo

Homebase Friji Lita 260 Silver

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

900,000

818,000

9% Punguzo

Boss Friji Lita 60 = Bs60svr

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

438,000

398,000

10% Punguzo

Inbox Jiko La Gesi Plet 2 Juu Kioo Banner Za Wavu Na Kawaida

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

71,000

64,000

11% Punguzo

Solarmax Tv Nchi 32 Smart Double Glass

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

289,000

258,000

20% Punguzo

Ailyons Freezer Lita 151 = Af151

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

661,000

529,000

10% Punguzo

Horizon Jiko La Gesi Plet 2 Juu Kioo

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

88,000

79,000

15% Punguzo

Bravo Tv Nchi 65 Smart 4k Uhd Frameless

Ilikuwa Tsh

Sasa Tsh

New

1,519,000

1,298,000

Ukurasa wa 23 kati ya 23

FAIDA UKINUNUA KWETU

MIKOPO YA BIDHAA

Hii inapatikana kwetu tu, Wateja wetu wote wana haki ya kuomba na kupata mikopo ya bidhaa mbali mbali. Jinsi unavyo nunua mara kwa mara na kuweka hela kwenye akaunti yako, unaongeza asilimia zako za mikopo

LIPA KIDOGO KIDOGO

Pesa yako haijatimia..?, Usiwaze! kwetu unaweza lipa kidogo kidogo kwa muda fulani, na utakapofikisha 75% ya bei, tutakupa bidhaa na utaendelea kulipa kiwango kilichobaki kidogo kidogo hadi utakapo maliza malipo yote

TUNA KUJALI

Mpendwa mteja wetu, ukinunua bidhaa kwetu, hatuwezi kukutupa, bali tutaendelea kusimama pamoja na wewe, katika kipindi chote cha warantii ili kuhakikisha bidhaa yetu haileti shida bali inakidhi mahitaji yako

WARANTII YA UHAKIKA

Kila mteja anahaki ya kupata warantii ya uhakika na muda mrefu. Ndivyo tunavyofanya. Kila bidhaa yetu ina warantii ndefu kuhakikisha usalama wa hadi miaka 5. Hii inamaana tunakulindia bidhaa yako kwa muda mrefu zaidi

KULETEWA HARAKA

Tume vunja rekodi ya kusambaza bidhaa kwa haraka haijawahi tokea. Ndani ya lisaa toka ukamilishe malipo bidhaa ishafika mlangoni kwako. Timu yetu inatumia pikipiki maalum za kuweza kukwepa foleni na kukufikia haraka

GHARAMA NAFUU

Kwanini upoteze pesa zako nyingi wakati unaweza okoa kwa kununua kwetu..?, wateja wetu wanajua hii siri, bei wanazo kuta kwingine ni kubwa kuliko zetu, na bidhaa za kwingine sio bora kama zetu, ndiomaana wanabaki kwetu

UBORA WA BIDHAA

Tuna bidhaa imara haijawahi tokea. Bidhaa zetu ni original, tume zipima ubora ili kuhakikisha zinapambana kuleta matokeo mazuri wakati wa matumizi. Hii imefanya tuaminiwe na kuvutia wateja wengi kununua kwetu kila siku

KURUDISHA BIDHAA

Kama hujaridhishwa na bidhaa yetu, usiwaze irudishe kwetu, tutakubadilishia upate nzuri zaidi, nyingineyo au tutakurudishia pesa yako. Mchakato huu utafanyika haraka kama ulivyotulipa. Pesa yako inaheshimika muda wote

OKOA MUDA

Muda ni pesa kwanini uupoteze..? Kwanini uzunguke madukani na kutoa jasho wakati bidhaa zote zipo kiganjani mwako..? Watu Wengi wananunua mitandaoni sikuhizi, Kaa chini, chagua, lipia kisha pumzika, tutakuletea bure

MSAADA MUDA WOTE

Kama kuna sehemu umekwama, ondoa shaka tuna timu ya kukusaidia muda wowote 24/7. Tupigie au bonyeza msaada ili kujifunza chochote kuhusu mtandao wetu. Tumeweka mazingira rafiki kwaajili ya watu wote

MAONI YA WATEJA

Lengo letu ni kuboresha maisha yako

Soma maoni haya ili ujue wateja wetu wanasemaje kuhusu sisi

,,

Sikutegemea kuwa mngeniamini kirahisi hivyo na mngenipa mkopo wa bidhaa kwa haraka. Nilikuwa nikitamani kuwa na TV kubwa kwa muda mrefu sana lakini nyie mmefanya ndoto zangu zitimie. Nahimiza wateja wengine waje kwenu

Beatrice Leonard

Sekretari Future Vision Stationeri

Mabibo Hosteli Dsm

,,

Ukiachilia mbali msaada mlionipa, lakini nimekuja kugundua kwamba, Bidhaa zenu pia zinadumu kwa muda mrefu sana. Hii inamaana zina maisha marefu. Hivyo nimewashauri marafiki zangu wote wanunue kwenu

Jcen Fredrick

CEO: FV Msabazaji Gesi

Ngoreme Musoma

,,

Kwa mara ya kwanza jamaayangu aliponiambia kuhusu kampuni inayotoa mikopo ya bidhaa kwa mashart rahisi na usajili wa mtandanoni, Nili hisi ni uongo, hadi jana mliponiletea Flati TV yangu ya hisense nchi 65 ikiwa na ubora wa juu na mwonekano angavu kwa mkopo, Hivyo kwa sasa nimewaamini. Givenall.com nyie ni kampuni kubwa

David Patrick

Mfanyabiashara

Mbeya Mjini

,,

Katika maisha yangu yote, Sikuwahi kuona bei nafuu za bidhaa za umeme kama bei zenu. Mara ya kwanza nilihisi labda bidhaa zenu sio orijino, lakini baada yan kutumia, nilikuja kujua kuwa bidhaa zenu sio tu ni original lakini pia zina ubora wa juu sana, kutokea siku hiyo hadi sasa, kila kitu ninachohitaji nanunua kutoka kwenu. Hata friza langu la bishara nilinunua kutoka kwenu kwakuwa nyie ni wasikivu sana kwa wateja wenu

Oscar Nzunda

Mwanasheria

Iringa

,,

Miongoni mwa vitu ambavyo nyie mmetofautiana na wafanyabishara wengi sana, ni kwamba nyie ni wasikivu sana kwa wateja wenu, na mnajali sana wateja kuliko pesa. Mfano AC nilionunua kwenu ilipoleta shida kidogo tu, mkamtuma fundi akaja kuirekebisha, kumbe haikuwa na tatizo, ila nilipenda uharaka wenu katika kutatua matatizo ya wateja

Suzana Ndaki

Kondkta: Kisbo Safaris

Mwanza

,,

Givenall kwa sasa nyie sio tu kampuni ninayopenda kununua mahitaji yangu yote, bali pia mmekuwa kama kipenzi changu na rafikiyangu wa karibu zaidi wa muda wote. Hii ni kwasababu hatakama kiwango changu cha pesa hakijatimia nyie mmekuwa mkinipa bidhaa ninayoitaka kwa mkopo na kwa haraka zaidi. Sina lakusema ila nawashukuru sana

Sabrina Prosper

Mmiliki Sabrina Saluni Ya Urembo

Chanika Dsm

Watu 3324 Wanalipa Kidogo Kidogo Na 824 Washachukua Bidhaa zao

Hujachelewa Bado Unaweza Kuanza Malipo Kwa Kulipa 1000 tu Kila Siku Anza Sasa